Msaada Naweza Pata Dawa Ya Kuondoa Makovu Hayo Natanguliz Shukran Zangu Za Dhat

Msaada Naweza Pata Dawa Ya Kuondoa Makovu Hayo Natanguliz Shukran Zangu Za Dhat

Rashid Soudy

Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
7
Reaction score
2
710972a6813c771330bca2b9b8fc7c55.jpg
 
Ulizia plastic surgeon wazuri wako wapi unaona kwa ushauri
 
Samahan Kama Unafaham Wanapo Patikana Niambie Coz Ni Ki2 Kigeni Kwangu Na Cjuh Pakwanzia Please
 
Nenda Muhimbili kuna kitengo hicho utapata ushauri kwanza kuhusu iyo apo
 
Sikushauri uangaike na ayo makitu mshukuru mungu kwa yote mimi ni mweupe ila uwa Nina rangi Fulani ya viganja unawachanganyaga wengi ina sio ina uchafu si uchafu kias kwamba siwezagi kushake hand na watu wengi wanahisigi mchafu ila ni genetics disorder nimerith kwa babu hata urimi wangu ni mweusi
 
Nilipata ajal ya moto miaka mitano nyuma sina aman hasa ukiangalia mie bado kijana kama unafaham dawa yke please tell me
Jaribu mafuta ya luqman.
Mwanangu aliungua mkono kama hivyo kama miaka mi3 nyuma. Kuna mtu kumuona akaniambia nimtafutie hayo mafuta. Huwezi amini. Saivi alivyo ukimuangalia hujui hata ni mkono gani aliungua.
Sasa sina uhakika kama kwako pia itasaidia. Maana yeye ndio ilikuwa makovu bado mabichi.
Na hayo mafuta ni mazuri sana kwa issue nyingi za Ngozi.
Mazuri sana
 
Nilipata ajal ya moto miaka mitano nyuma sina aman hasa ukiangalia mie bado kijana kama unafaham dawa yke please tell me
pale ulipoungua muda ule ule ulitakiwa upake asali na yai bichi na manyonya ya sungura usingepata kovu
 
Sikushauri uangaike na ayo makitu mshukuru mungu kwa yote mimi ni mweupe ila uwa Nina rangi Fulani ya viganja unawachanganyaga wengi ina sio ina uchafu si uchafu kias kwamba siwezagi kushake hand na watu wengi wanahisigi mchafu ila ni genetics disorder nimerith kwa babu hata urimi wangu ni mweusi

Utakuwa Mnyarwanda wewe
 
Back
Top Bottom