Rashid Soudy
Member
- Sep 22, 2017
- 7
- 2
Watakuja subiri mimi Dar siifahamu zaidi ya kwetu Kwamtogole.Samahan Kama Unafaham Wanapo Patikana Niambie Coz Ni Ki2 Kigeni Kwangu Na Cjuh Pakwanzia Please
mbona uko poa tu mkuu ,huo ni mkono wa mwanaume bwana
Tena Irene Uwoya anawapenda watu wenye mwili kama huo sijui anataka awe soft kama kina deliciousmbona uko poa tu mkuu ,huo ni mkono wa mwanaume bwana
Nilipata ajal ya moto miaka mitano nyuma sina aman hasa ukiangalia mie bado kijana kama unafaham dawa yke please tell membona uko poa tu mkuu ,huo ni mkono wa mwanaume bwana
Pole sana mkuu..........Nilipata ajal ya moto miaka mitano nyuma sina aman hasa ukiangalia mie bado kijana kama unafaham dawa yke please tell me
Jaribu mafuta ya luqman.Nilipata ajal ya moto miaka mitano nyuma sina aman hasa ukiangalia mie bado kijana kama unafaham dawa yke please tell me
Mkuu njoo Ndanda hospital kuna madaktari bingwa kutoka Germany wapo kwa mda wanajuwa sana plastic surgery wahi kabla hawajaondoka
pale ulipoungua muda ule ule ulitakiwa upake asali na yai bichi na manyonya ya sungura usingepata kovuNilipata ajal ya moto miaka mitano nyuma sina aman hasa ukiangalia mie bado kijana kama unafaham dawa yke please tell me
Sikushauri uangaike na ayo makitu mshukuru mungu kwa yote mimi ni mweupe ila uwa Nina rangi Fulani ya viganja unawachanganyaga wengi ina sio ina uchafu si uchafu kias kwamba siwezagi kushake hand na watu wengi wanahisigi mchafu ila ni genetics disorder nimerith kwa babu hata urimi wangu ni mweusi
Inapatikana Wapi Mkuu Samahan Kwa UsumbufuKuna dawa inaitwa no scar, inaondoa mabaka na makovu
Samahan Mkuu Naomba Unijuze Hao Madaktar Bado Wapo Mpaka SasaMkuu njoo Ndanda hospital kuna madaktari bingwa kutoka Germany wapo kwa mda wanajuwa sana plastic surgery wahi kabla hawajaondoka