MSAADA: Naweza vipi ku delete number kwenye blocked contacts WhatsApp?

MSAADA: Naweza vipi ku delete number kwenye blocked contacts WhatsApp?

Hauwezi kublock namba ambayo iko deleted, ili kublock namba whatsapp inabidi iijue namba. So ondoa block kisha futa namba kwenye simu
 
Hauwezi kublock namba ambayo iko deleted, ili kublock namba whatsapp inabidi iijue namba. So ondoa block kisha futa namba kwenye simu
Naona hujaelewa uzi mkuu
 
Naona hujaelewa uzi mkuu
kakujibu vizuri tu
namna blocking inavyofanya kazi (hata kwa normal Calls & SMS) ni kwamba

inbounds zote za blocked number zinafika kwenye whatsapp yako kama kawaida, ila tu whatsapp inazi ignore na kutozipeleka kwenye Chat List kama namba ipo kwenye blacklist,
kuifuta namba kwenye blacklist ili usiione ni sawa umeipeleka hiyo namba kwenye whitelist
 
awkey
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti owkey [emoji2960] kijana wa hovyo kabisa..anazuga kaelewa[emoji3061]
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio. Ukiwa darasana hapo kama teacher unasema bado.

Inabidi urudie
 
🤣🤣🤣🤣Eti owkey 🤭 kijana wa hovyo kabisa..anazuga kaelewa🥴
Umenichekesha mkuu.
Halafu ni kweli sikuelewa ila nimesema tu owkey sbb hata ningeeleweshwa zaidi sidhani kama ningeelewa😬
 
Lipa madeni ya Watu kwani hata Ukiwabloku WhatsApp bado watakuja Kwako Kukudai mbele ya Mkeo na Wanao.
Gentaah😬.
Mara ya mwisho kudaiwa nilikua la nne mkuu.
Nilikopa hela nikaenda kununua chauro kwa Jani(wachache ndo watakaonielewa hapa).
Basi baada ya wiki nzima yakudaiwa ilipofika Ijumaa nikarudishwa kwetu na kindumbwe ndumbwe.Darasa zima walinipeleka home wakinipiga masingi,mara nimezomewa,mara nimetiwa konzi.
Kufika home maza akawatimua halafu akanilamba viboko vya maana tu.
Namshukuru Mungu kwa hiyo.expirience,imefanya naogopa/chukia sana kudaiwa.

Kwa hiyo bwana Gentah kama unaishi kama digidigi kwa kudaiwa usifikiri ni kila mtu.
 
Back
Top Bottom