mkuu,
umechelewa kugundua, lakini si mbaya!
Facebook imekuwa kichaka cha kila anaye-access kompyuta kuweka utumbo wake humo, na bahati mbaya watu wanatumia information za humo, whether graphics or writings kufanya biashara bila taarifa ya wenyewe!...i badly hate this facebook-bug..
Sijachunguza policy yao ya ku'unregister, lakini umeleta changamoto zuri, tutaifanyia kazi, nadhani pia ukigoogle unaweza kupata option ya kusepa huko!
Wadau naomba msaada wa kujua kama naweza kutoka kabisa kwenye mtandao wa facebook kwa maana ya ku-resign na kuachana kabisa na mtandao huo!!! umejaa utoto mno kiasi kwamba sioni faida yake hata punje. kwa yeyeto anayeweza kunishauri namna ya kufuta kabisa ID yangu na particulars zangu ntashukuru sana,
Naomba kuwasilisha!!
https://www.jamiiforums.com/habari-...44-hatari-za-facebook.html?highlight=facebookFacebook ni nzuri. Anayesema ni mbaya ni mbaya kwake lakini ni nzuri kwangu ingawa mimi sio mtoto bana. Msipotoshe watu kwa shida zenu binafsi. Wengine tunaipenda.
You have got a point there!Waungwana facebook si mbaya kama mnavyojaribu kielezea hapa.
Its a matter of being in right place at right time.