Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Hivo vipimo bima inaweza kutumika??Laki moja nenda tu hapo mloganzila, yaani wakupime tu, mashine wanazo, ila zaidi ya hapo usije sema nilikushauri.
Najua na huko Mhimbili ya jakaya kikwete wanapima, ujipange vizuri zaidi.
Ofcourse Yes.Hivo vipimo bima inaweza kutumika
Ofcourse Yes.
Asante
Hivo vipimo bima inaweza kutumika??
Na mbaya zaidi dawa za Figo nazo zinaua figokujua usalama wa figo zako ni vyema ukapima utendaji kazi wa moyo wako pia, maana kuna changamoto za moyo zinaathiri figo pia.
Ushauri wa bure epuka sana kutumia antibiotics kwa muda mrefu
Yana uhatari gani?,kwa Tanzania vifo vitokanavyo na Malaria na pneumonia kwa Wakubwa ba Watoto ni mara 1000 zaidi ya vifo vya sukari na figo.Ugonjwa wa figo na kisukari ni hatari sana tufanye yote tujikinge nayo
Hizi antbiotics zinagawiwa kama pipi huko famasi yawezekana ni chanzo kikubwa cha kuunguza viungo vyetu asee. Kibaya zaidi kila hisptal na kila unayekutana nae anakwambia amekutwa na UTI dawa alizoshika mkononi ni hizohizo ant biotics. Hatari sanakujua usalama wa figo zako ni vyema ukapima utendaji kazi wa moyo wako pia, maana kuna changamoto za moyo zinaathiri figo pia.
Ushauri wa bure epuka sana kutumia antibiotics kwa muda mrefu
Aende hospital kwanzaMkuu nakudhauri hiyo laki 1 usiitumie kwanza. Bali jichange change kwanza angalau ifike TSh 192,000/= ili ukate bima ya afya ktk kifurushi Cha bei hiyo halafu ndiyo uende hospitali sasa.
Hii itakusaidia pia kupata dawa na vipimo vingine vya kutatua changamoto Yako kwa kipindi Cha mwaka mzima. Ahsante.
Mkuu labda hujakaa kwenye hospital kubwa!Yana uhatari gani?,kwa Tanzania vifo vitokanavyo na Malaria na pneumonia kwa Wakubwa ba Watoto ni mara 1000 zaidi ya vifo vya sukari na figo.
Na hii ndio changamoto nyingine Kwa nchi yetuHizi antbiotics zinagawiwa kama pipi huko famasi yawezekana ni chanzo kikubwa cha kuunguza viungo vyetu asee. Kibaya zaidi kila hisptal na kila unayekutana nae anakwambia amekutwa na UTI dawa alizoshika mkononi ni hizohizo ant biotics. Hatari sana