brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 247
- 135
Tumia app moja inaitwa ottap#mkuje jamani wenye uwelewa na hili??
#nikitumia ndio inakuaje??Tumia app moja inaitwa ottap
Si unatka kukata ticketi y basi kupitia mtandao au? Tumia app hiyo ndo huduma wanazotoa#nikitumia ndio inakuaje??
#nikitumia ndio inakuaje?
#ni app moja tu ndio inatoa hiyo huduma au kuna zingine na kama zipo ni zipi??Si unatka kukata ticketi y basi kupitia mtandao au? Tumia app hiyo ndo huduma wanazotoa
#nataka nitumie njia ya online kupata TIKETI kutoka dar-mwanzaInategemea unatumia njia au mtandao gani?
Mfano kwa buses kama Shabiby na BM Coach unaweza kukata kwa website zao official na ukalipa kwa mpesa au tigo pesa.
Kwa kona za ticket online mm najua hiyo na moja inaitwa nilipe app. Ottap niliwahi kufanya nao kazi kabla hawajaingi kwenye ticket za mabasi. Hawa wanaendesha pia huduma ya ticket kwenye shoo za watubaki na untalented mliman City.#ndugu umenijibu
#ni app moja tu ndio inatoa hiyo huduma au kuna zingine na kama zipo ni zipi??
#aah!sawa nduguKwa kona za ticket online mm najua hiyo na moja inaitwa nilipe app. Ottap niliwahi kufanya nao kazi kabla hawajaingi kwenye ticket za mabasi. Hawa wanaendesha pia huduma ya ticket kwenye shoo za watubaki na untalented mliman City.
Ila industry hiyo sijui kama imechangamka sana sana. Ila najua hao ottap wana wapinzani wao huko kwenye usafiri, kwenye event mpinzani wao ni nilipe app. Na wanaendesha huduma ya kuskani ticket zao kwenye vituo vya mabas na mawakala wapo kabisa wanatumia mashine.
Wapinzani wa ottap huko kwenye usafir huo sijajua kina nani ila wapo
#kwenye kampani ipi??nadhan ukiingia google utapata utaratibu na namna ya kukata tiketi
#nimejari ku download app ya ottap nimeshindwa kuitumia kwa sababu inataka niwe na akaunti na hakuna sehemu inayo niruhusu kufungua akaunti.Kwa kona za ticket online mm najua hiyo na moja inaitwa nilipe app. Ottap niliwahi kufanya nao kazi kabla hawajaingi kwenye ticket za mabasi. Hawa wanaendesha pia huduma ya ticket kwenye shoo za watubaki na untalented mliman City.
Ila industry hiyo sijui kama imechangamka sana sana. Ila najua hao ottap wana wapinzani wao huko kwenye usafiri, kwenye event mpinzani wao ni nilipe app. Na wanaendesha huduma ya kuskani ticket zao kwenye vituo vya mabas na mawakala wapo kabisa wanatumia mashine.
Wapinzani wa ottap huko kwenye usafir huo sijajua kina nani ila wapo
#nimejaribu kuangalia tiketi kwenye ottap lakini sijaona gari yenye bei 70000 au chini ya apo. Nawezaje kupataKwa kona za ticket online mm najua hiyo na moja inaitwa nilipe app. Ottap niliwahi kufanya nao kazi kabla hawajaingi kwenye ticket za mabasi. Hawa wanaendesha pia huduma ya ticket kwenye shoo za watubaki na untalented mliman City.
Ila industry hiyo sijui kama imechangamka sana sana. Ila najua hao ottap wana wapinzani wao huko kwenye usafiri, kwenye event mpinzani wao ni nilipe app. Na wanaendesha huduma ya kuskani ticket zao kwenye vituo vya mabas na mawakala wapo kabisa wanatumia mashine.
Wapinzani wa ottap huko kwenye usafir huo sijajua kina nani ila wapo
Msaada wangu kaka umeishia hapo. Sina kipya mzee wangu#nimejaribu kuangalia tiketi kwenye ottap lakini sijaona gari yenye bei 70000 au chini ya apo. Nawezaje kupata
habari za leo wadau,
Nawezaje kukata TIKETI ya basi mtandaoni???
Na vipi kuhusu usalama wa malipo ya kifedha?
#mkuje jamani wenye uwelewa na hili??
Tumia app moja inaitwa ottap
Inategemea unatumia njia au mtandao gani?
Mfano kwa buses kama Shabiby na BM Coach unaweza kukata kwa website zao official na ukalipa kwa mpesa au tigo pesa.
#nikitumia ndio inakuaje??
Si unatka kukata ticketi y basi kupitia mtandao au? Tumia app hiyo ndo huduma wanazotoa
#ndugu umenijibu
#ni app moja tu ndio inatoa hiyo huduma au kuna zingine na kama zipo ni zipi??
#nataka nitumie njia ya online kupata TIKETI kutoka dar-mwanza
Kweli kabisa afu ukisha kata ticket unaletewa control number ambayo utatumia kulipia
nadhan ukiingia google utapata utaratibu na namna ya kukata tiketi
Kwa kona za ticket online mm najua hiyo na moja inaitwa nilipe app. Ottap niliwahi kufanya nao kazi kabla hawajaingi kwenye ticket za mabasi. Hawa wanaendesha pia huduma ya ticket kwenye shoo za watubaki na untalented mliman City.
Ila industry hiyo sijui kama imechangamka sana sana. Ila najua hao ottap wana wapinzani wao huko kwenye usafiri, kwenye event mpinzani wao ni nilipe app. Na wanaendesha huduma ya kuskani ticket zao kwenye vituo vya mabas na mawakala wapo kabisa wanatumia mashine.
Wapinzani wa ottap huko kwenye usafir huo sijajua kina nani ila wapo
#aah!sawa ndugu
#kwenye kampani ipi??
Au ndio nizitafute huko Google??
#nimejari kutafuta TIKETI mtandaoni lakini nimeshindwa
#nimejari ku download app ya ottap nimeshindwa kuitumia kwa sababu inataka niwe na akaunti na hakuna sehemu inayo niruhusu kufungua akaunti.
#nataka kusafiri kesho kutwa (j5) kutoka DAR - MWANZA naomba msaada wa kupata TIKETI kwa bei chini ya 70000- basi zuri ambalo sio VIP wala VVIP
#nimejaribu kuangalia tiketi kwenye ottap lakini sijaona gari yenye bei 70000 au chini ya apo. Nawezaje kupata
Msaada wangu kaka umeishia hapo. Sina kipya mzee wangu
Ingia googlehabari za leo wadau,
Nawezaje kukata TIKETI ya basi mtandaoni???
Na vipi kuhusu usalama wa malipo ya kifedha?
JAPANESE UNCENSOREDhabari za leo wadau,
Nawezaje kukata TIKETI ya basi mtandaoni???
Na vipi kuhusu usalama wa malipo ya kifedha?