Habari za usiku ndugu zanguni?
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Naomba mnisaidie wataalamu wa sheria, hivi ni Mbinu gani Unaweza kuitumia ili kumnusuru ndugu yako ikiwa umebaini kuwa kuna dalili za OC-CID kutaka kumbambikizia kesi?
Yaani amekamata mtuhumiwa kwa kosa la kununua mali ya wizi wakati huo mwizi anafahamika, lakini anatamka kuwa huyo aliyemkamata kwa kosa la kununua mali ya wizi anamfungulia Makosa ya Unyang'anyi wa kutumia Silaha pamoja na mwizi.
Je, hapo Unaweza kufanyaje?