Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Habari zenu wakuu, Maguru wa I.T
Nilikuwa yahoo group na wenzangu, ambapo december 15 2020 .Yahoo wamefunga groups. Nawezaje ona (kupata) emails za wale members niwatumie jumbe mmoja mmoja?
Nicheki kwa 0713-039875 , kama ushauri mrefu, tupange wikiend ,ntakulipa kwa usumbufu mkuu