Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Sasa starehe ya sex unaipata vipi mkuu, kama sio kujitesa tuuKiwa unaipiga ondoa mawazo yako kwenye hyo kazi,ebu fanya kama unavuta picha upo kwenye basi unaanza kuona vituo vyote kuanzia magufuri basi terminal,kwa mathias ,kimara mwsho,mlandiz vituo na vijiji vyote vya moro dom sing mpaka mwanza misungwi,chuoni ukiliguru,usagara,buhongwa mpaka nyege bus terminal hapo dk 40 utakuwa umefika ndo unakitupa
Kama hufik hata dk 7 wew bado hujui utamu wa mbususu,inatakiwa demu umpige hata style zaidi ya tatu kabla ya kukimwagaJoto halihusiani chochote na kurudia. Mzee Bolo Yeung akitaka lake, hata ndani ya tanuri anarudia.
Unachokutana nacho ndio uhalisia wako. Jaribio lolote la kutafuta tiba ni kujiharibu kabisa.
Suluhisho ni dogo, kubaliana na hali yako na usijichukulie kama mgonjwa au una mapungufu.
Uzuri bao hata la sekunde moja linatosha kutungisha mimba. Pia utamu wa bao upo pale pale haijalishi limetoka baada ya lisaa au baada ya sekunde.
Kubwa na la muhimu kabisa, kitakwimu kina dada hawahesabu umekaa dakika ngapi kifuani kumaanisha umemlala.
Sekunde moja au dakika 100, kitakwimu ushamlala huyo.
Ingia zako ndani, piga tako zako tatu takatifu, mwaga kojo lako, nyanyuka kishujaa kifua mbele huku uking'uta kende, muulize 'baby ume enjoy' akikusonya au kukudanganya ka enjoy, hiyo shauri yake.
Kama bao la kwanza unakojoa kwa dakika 2 uko kwenye right traki, niamini mimi.
Wengine la kwanza Tukianza kukoleza takoling tu wazungu hao sijui dakika au sekunde ngapi sijui.
Sasa kama uwezo wake dakika 3 afanyeje? Inabidi akubaliane na hali yake tuKama hufik hata dk 7 wew bado hujui utamu wa mbususu,inatakiwa demu umpige hata style zaidi ya tatu kabla ya kukimwaga
Dkk 7 hazitoshi mkuu, vinginevyo uwe na mwanamke Cha uzembe.Kama hufik hata dk 7 wew bado hujui utamu wa mbususu,inatakiwa demu umpige hata style zaidi ya tatu kabla ya kukimwaga
Bado nakumbuka comment yako ya trafik anasimamisha rolls royce ili aone nini,nacheka sanaSasa starehe ya sex unaipata vipi mkuu, kama sio kujitesa tu