Msaada: Nawezaje kutengeneza pesa kutoka katika jamii hii hii ya Kitanzania?

Msaada: Nawezaje kutengeneza pesa kutoka katika jamii hii hii ya Kitanzania?

Shozylin

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
341
Reaction score
699
Wakuu kuna Aliye mgonjwa humu Kati yetu? Kama yupo namuombea apate uzima wa afya. kwa ninyi msio wagonjwa poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima ya leo. Na wale walio bahatika kutoka kwenda kumwagilia moyo pongezi kwenu.

Kwa wale wadau wanaosema-ga kua Tanzania yetu ni mbichi na yenye fulsa karibuni sana hapa, bila kusahau uwepo wa wadau walio nje ya mipaka ya Tanzania na nyote mlimo ndani ya mipaka ya nchi yetu karibuni.

Nimewaiteni hapa kijana mwenzetu kwania moja njema kabisa. Nia yangu ni ninyi kunipa mbinu za kutengeneza pesa kutoka kwenye jamii yetu Kitanzania.

Kutoka kwenu nimefikilia kuwa, ntapata mawazo ambayo yatanipa mwanga katika mawazo yangu haya.

1: Nawezaje kutengeneza pesa kutoka kwenye application ambayo/ ambazo zitatoa hudua zifuatazo.

i/ Uzaaji wa bidhaa zilizo tumika.
ii/ Application inayo husika na uzaji wa simulizi mbali mbali (hadithi).

2: Utoaji wa mikopo kwa riba. (Sina kibali na Nina taka mbinu za kufanya KIENYEJI kutoka kwa wazoefu).

3: Namna ya kuendesha michezo ya bahati nasibu (idea yangu nikua unatengenezwa application ya kubeti isiyo kua na kibari).

Kama mjuavyo serikali yetu ipo macho sana tena macho sungura. Kwahiyo naweza fanya mambo yangu ki- enyeji baadae sana ndo naingia rasmi kwenye mfumo.

Sina hela ila nataka kutengeneza fedha kwa njia za panya.

Kuwaiteni hapa ndugu zangu nimetaka kuwashirikisha mawazo yangu lakini pia Kama kuna mwenye njia mbadala anipe tafadhali.

Karibuni.[emoji3][emoji123]
JamiiForums-437970268.jpg
 
Ukitaka kupata hela, tatua changamoto za watu. Angalia watu wana shida gani then tafuta njia ya kusolve matatizo yao.
 
Ukitaka kupata hela, tatua changamoto za watu. Angalia watu wana shida gani then tafuta njia ya kusolve matatizo yao.
Mkuu hii njia kwa kibongo ni ngumu kui Apply Unless tatzo liwe linalo husu afya.
 
Hapo kwenye bahati nasibu ukijipanga vizuri unasepa na kijiji.

Unaweza ukajiongeza ukatengeneza scam kama deci, d9 etc maana wabongo wanapenda sana mteremko.
 
Hapo kwenye bahati nasibu ukijipanga vizuri unasepa na kijiji.

Unaweza ukajiongeza ukatengeneza scam kama deci, d9 etc maana wabongo wanapenda sana mteremko.
Hii uwe na network na wakubwa
 
Back
Top Bottom