Msaada: nawezaje kuzifanya video za Instagram zisiplay zenyewe?

Msaada: nawezaje kuzifanya video za Instagram zisiplay zenyewe?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari humu wadau wa jukwaa hili?

Aseee naomba kujua Instagram niende wapi ili nikiwa naingia kuangalia video za mule zisiwe zinacheza maana naona bando linakuwa linaisha sana, yani niweke off kama inawezekana tafadhali 🙏
 
Mhmm sizan kama ipo ngoja mafund waje uaga nazikimbia video insta zinakata mb mbaya
 
Usitumie spplication ya istagram.. Tumia browser ya instagram kupitia google.. Ile haina bando kbsa
Habari humu wadau wa jukwaa hili?

Aseee naomba kujua Instagram niende wapi ili nikiwa naingia kuangalia video za mule zisiwe zinacheza maana naona bando linakuwa linaisha sana, yani niweke off kama inawezekana tafadhali [emoji120]
 
Kama unatumia samsung... Kuna application ya istagram... Ipo kama ya kwenye google...
Habari humu wadau wa jukwaa hili?

Aseee naomba kujua Instagram niende wapi ili nikiwa naingia kuangalia video za mule zisiwe zinacheza maana naona bando linakuwa linaisha sana, yani niweke off kama inawezekana tafadhali [emoji120]
 
nenda profile, setting, account, data usage, gusa hapo.

haistope video ila inazipunguza ubora.
 
kama unatumia 4G shusha mpaka speed ya chin kabisa kama haita zingua hapo video zitatumia muda ku load ili ianze kuplay we unaskip
 
Tumia web app ya Instagram kupitia browser, video haifunguki mpaka ui click
 
App hyo apo..download ya juu..

Screenshot_20210217-224607.jpg

Sent from my TECNO CD8j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom