Msaada: Ndevu kwa manamke, Kupitiliza siku na maumivu baada ya kufanya mapenzi

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Habari, naomba ushauri wa kitaalam kuhusu issue mbili zinazomkabiri mke wangu.

Issue ya kwanza: Mke wangu ana ndevu kwenye kidevu, sio nyingi sana but anataka zitoke permanently. Je, ni vizuri kuzitoa kwa kunyoa au madawa ya kupaka? Zina sababishwa na nini? Hafu siku zake pia zimebadirika sana, alikua na mzunguko wa siku 28 ikaja 32 ila sasa hadi siku 45. Sasa je hivi vitu viwili vina mahusiano?

Issue ya pili. Tukitoka kusex, baadae anapata maumivu sana sehemu za siri (sio wakati wa kusex, wakati wa kusex ana enjoy kabisa), hafu maumivu yanaweza endelea ata akwa week nzima na sometimes akaingia kwenye period kabisa.

Msaada wa ushauri hapa.
 
Muoneni gyno.......kuna kutokubalance kwa hormones hapo.........
 
Mna mtoto? Na ndoa yenu ina Muda gani na tatizo limeanza rasmi lini?
 
Hapana hatuna mtoto. Ndoa imeanza rasmi mwaka 2014 Feb na tatizo lilianza muda tu ata kabla hatujafahamiana na mimi.
 
Back
Top Bottom