Msaada ndio unachukuliwa riziki zako

Msaada ndio unachukuliwa riziki zako

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
WAtu wengi wanajua waganga wanasaidia .

Ila waganga hawasaidii waganga wanachukua mazuri yako anampa mteja wake mwaminifu halafu wewe anakusaidia some how unaona afadhali ila ukija jua kachukua nini au umeloose nini? Unazimia .

Saivi maisha ya watu wengi yamezorota kisa kwenda kwa waganga cha ajabu , wale wanaomwamini Mungu wanawajiri wale wanaoenda kwa waganga na wanalogana weeh kupata nyadhifa mmbali mbali hadi wanauana.

Ushauri tu Mwamini Mungu sana ndio anaweza sio umekatazwa kwenda huko ila usiwekee imani yako yote humo ndani Mungu anaweza.
Tena sana .....

Good day
 
Back
Top Bottom