Wakuu habari za muda huu,ni wapi naweza pata chimbo la ubuyu huu uliopikwa kabisa, wanaouza pale Kariakoo sokoni, ule sio ubuyu wa babu ISSA, Ila ukiwauliza wanasema ubuyu wa babu ISSA.
Nimejaribu kwenda kuwauliza wanapochukua, lakini wamegoma kusema ,Ila wanataka wao ndio wakuuzie jumla.
So anayefahamu ni wapi unapatikana huo ubuyu kwa Dar hapa....msaada ndugu.