Msaada ndugu zangu heslb

Msaada ndugu zangu heslb

luofe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
330
Reaction score
143
Kuna ndugu yangu namsaidia kufanya appeal ya bodi ya mikopo lakini kila tuki log in inaleta personal information only zile sehemu za kujaza info nyingine haziji ko anayefahamu jinsi ya kusolve hilo tatizo anisaidie!!!!!!!
 
mi mwnyew nimekumbana na tatizo hilo hilo nashindwa hata nifanyaje..
 
unatakiwa uingize info mara moja tu then kuna maneno ambayo utaingiza ya mwisho ndo itakua password yako
 
Imeshakaa sawa ilikua inazngua kweli jaribu ku-login tena lakini password ndo zile digit za pale mwisho wakati unaanza ku-register
 
taarifa rasmi ya bodi; tatizo wanasema ni system ya network ktk ofisi zao hivyo wataalamu wao wanashughulikia kuanzia sasa, mwanzoni hawakuwa na taarifa juu ya hilo tatizo.
 
Kuandika Birth date pia haiedit inkuwaje hapo.. Wakuu Janvini..
 
Zei izo fom ukishapaa aunapeleka wap kuna viambatanisho o unajaza on lyne 2
 
jamani huku bado inasumbua! still inaleta personal info tu"
 
Back
Top Bottom