Kuna ndugu yangu namsaidia kufanya appeal ya bodi ya mikopo lakini kila tuki log in inaleta personal information only zile sehemu za kujaza info nyingine haziji ko anayefahamu jinsi ya kusolve hilo tatizo anisaidie!!!!!!!
taarifa rasmi ya bodi; tatizo wanasema ni system ya network ktk ofisi zao hivyo wataalamu wao wanashughulikia kuanzia sasa, mwanzoni hawakuwa na taarifa juu ya hilo tatizo.