Msaada ndugu zangu, Miguu ya mwanangu haina uvungu

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Natumaini hamjambo ndg zangu,

Langu moja ni kuuliza nina mtoto wangu ana mwaka na nusu, ila katika miguu yake haina uvungu, yani ipo flat.

Sijui tatizo linaloweza kumpata nini? Yani madhara yake na matibabu yake pia nifanyaje? Kutembea ana tembea vizuri hana shida.

Pitia hapa pia


Ubora wa binadamu wenye miguu yenye uvungu
 
Kama hana tatizo kwa nini unalazimisha matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…