Ungepeleka uzi kule JF garage nadhani ndio kwenyewe.Suzuki escudo inakula mafuta kupitiliza 1lit kwa km 3.3 tu nikifanya kupita high way naweza kwenda km240 kwa 21lit tu lakin nyumban ni km5 kwenda na kurudi zinakuwa 10 hivyo nikiweka mafuta hizo 21lit natumia siku 5 tu ukipiga hesabu unajua mafuta yanaenda sana. Na pia kuna hicho kifaa hapo kimetolewa ukikichomeka gari silent inaongezeka sana msaada wanduguView attachment 935427
Hiyo gari ina matatizo!Ungepeleka uzi kule JF garage nadhani ndio kwenyewe.
Hiyo gari ina matatizo!
Siku moja ni 10km mara siku tano, sawa na 50km. Mafuta 21L manake ni 50km/21L, kila km1 gari yako inabwia 2.3km/L. Je, njia unayotumia ina foleni kubwa? Hata hivyo mbona ratio ya highway ipo sawa tu 240km/21L sio mbaya, ni kama 11.4km/LSuzuki escudo inakula mafuta kupitiliza 1lit kwa km 3.3 tu nikifanya kupita high way naweza kwenda km240 kwa 21lit tu lakin nyumban ni km5 kwenda na kurudi zinakuwa 10 hivyo nikiweka mafuta hizo 21lit natumia siku 5 tu ukipiga hesabu unajua mafuta yanaenda sana. Na pia kuna hicho kifaa hapo kimetolewa ukikichomeka gari silent inaongezeka sana msaada wanduguView attachment 935427
Hamna folen mkuu km2 lam . km3 raf roadSiku moja ni 10km mara siku tano, sawa na 50km. Mafuta 21L manake ni 50km/21L, kila km1 gari yako inabwia 2.3km/L. Je, njia unayotumia ina foleni kubwa? Hata hivyo mbona ratio ya highway ipo sawa tu 240km/21L sio mbaya, ni kama 11.4km/L
Peleka gari kwa wataalamu wakaangalie shida ilipo.
Ni escudo toleo la mwaka gani mkuu?Hamna folen mkuu km2 lam . km3 raf road
Arushauko mji gani?
1992 mkuuNi escudo toleo la mwaka gani mkuu?
Arusha
Nielekeze mimi niko dar kakaungekua dar ningekuelekeza kwa jamaa flani hivi mchawi wa eacudo
Nielekeze mimi niko dar kaka