nasumbuliwa na uume wangu yaani unasinyaa nakuwa mdogo na mgumu ukiambatana na miguu kuwa kama misuli inavuta na maumivu makali ya mgongo na kiuno. Nimepima magonjwa ya zinaa sina, x-ray hakuna tatizo. Hizi ni dalili za ugonjwa gani na tiba yake nini.?