utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,849
- 2,508
Nahitaji kuzipata Chicken water drinking cups kwa bei nafuu. Maana kama miezi mitatu nyuma kuna jamaa mmoja Kariakoo aliniuzia kwa 1500 kwa pisi sasa leo nimerudi tena nimezikosa na kuingia maduka mengine wananiambia 2500.
Tafadhalini kwa anayejua sehemu ambayo naweza pata kwa 1500 naomba anielekeze tafadhalini ndugu zangu.
Tafadhalini kwa anayejua sehemu ambayo naweza pata kwa 1500 naomba anielekeze tafadhalini ndugu zangu.