msaada ndugu zangu

msaada ndugu zangu

JipuKubwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
2,341
Reaction score
2,390
Ndugu wana jamvi naomba kujua sheria inasemaje pale ambapo afisa utumishi wa wilaya amesomewa mashtaka ya ubadhirifu mahakamani lakini bado yupo ofisini.
 
Back
Top Bottom