mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Kwa kiswahili ni TABIA MBAYA.Heshima kwenu wanajukwaa
Omba hela, omba chochote kitu waweza nyimwa.....lkn mgaagaa na upwa haliwali mkavu
Nianze kuomba wale wanaojua kujibu fyoko...waendeleee sisi hatutochi hatupoi kujifunza
Neno odds limenitesa sana msaada kwa wajuzi
asante
Kwa kiswahili ni TABIA MBAYA.
Lakini pia sijajua limetumika wapi kwasababu kwa kiingereza Lina maana nyng.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaa ni Uwezekano wa kuwa kitu kitatokea au nafasi ya kuwa jambo moja/fulani litatokea katika jambo tofauti.
Samahani...unaweza ukaifafanua zaidi hii ya uwezekano was kutokea jamboAnhaa ni Uwezekano wa kuwa kitu kitatokea au nafasi ya kuwa jambo moja/fulani litatokea katika jambo tofauti.
Ni kama probability
Sent using Jamii Forums mobile app