Hilo ni neno la kiswahili ambalo halina asili ya kibantu, Kama sijakosea lina asili ya Kiarabu
kimaandishi hilo neno mara nyingine linaandikwa na kuwekwa i mwisho Raisi na mara nyingine linakuwa bila i kama ulivyoliandika wewe
maneno ya aina hiyo yapo mengi tu,
mfano: Marehem (Marehemu)
Maalum (Maalumu)