DR. MWAKABANJE JF-Expert Member Joined Nov 7, 2012 Posts 1,976 Reaction score 3,130 Feb 15, 2018 #1 Naombeni msaada juu ya maelezo ya jinsi ya kupata mbegu ya ng'ombe kutoka shamba la kitulo lililopo Makete-Njombe ikiwa ni pamoja na bei yake kulingana na umri na kama naweza pata mawasiliano yao nitashukuru. Ahsanteni.
Naombeni msaada juu ya maelezo ya jinsi ya kupata mbegu ya ng'ombe kutoka shamba la kitulo lililopo Makete-Njombe ikiwa ni pamoja na bei yake kulingana na umri na kama naweza pata mawasiliano yao nitashukuru. Ahsanteni.
The Businessman JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 7,397 Reaction score 9,255 Feb 15, 2018 #2 Ushauri mzuri ufunge safari mpaka Kitulo ukaonane na Wahusika wenyewe na project zao.
E Emily mwasubila Member Joined May 16, 2018 Posts 7 Reaction score 1 May 16, 2018 #3 The Businessman said: Ushauri mzuri ufunge safari mpaka Kitulo ukaonane na Wahusika wenyewe na project zao. Click to expand... Sawa, ila veterinary products tunasambaza/ Kuuza Ng'ombe bora wa maziwa kwa order au mawasiliano 0754987809
The Businessman said: Ushauri mzuri ufunge safari mpaka Kitulo ukaonane na Wahusika wenyewe na project zao. Click to expand... Sawa, ila veterinary products tunasambaza/ Kuuza Ng'ombe bora wa maziwa kwa order au mawasiliano 0754987809
Nanoli JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 3,735 Reaction score 5,974 May 23, 2019 #4 Emily mwasubila said: Sawa, ila veterinary products tunasambaza/ Kuuza Ng'ombe bora wa maziwa kwa order au mawasiliano 0754987809 Click to expand... Mnapatikana wapi mkuu
Emily mwasubila said: Sawa, ila veterinary products tunasambaza/ Kuuza Ng'ombe bora wa maziwa kwa order au mawasiliano 0754987809 Click to expand... Mnapatikana wapi mkuu