jamani wana jamvi,naombeni msaada juu ya hili nina ng'ombe wangu ni wa kienyeji na anamimba kubwa tu ila anatabia ya kula rambo so tumbo lake limekuwa kubwa sana.sasa naombeni kujua dawa ya tatizo hili ni nini?nitawezaje kumzibiti!!
Wakati nikiwa mdogo kule nyumbani Ng'ombe alikua akila Marlboro sio rahisi kupona atakuja kufa tu maana hazitoki tena ila kwa sasa sijui kama kuna dawa ama utaalam mwingine labda upasuaji kama itawezekana (jus am kidng)