Msaada: Ngono kwangu imegeuka chakula, nikikosa punani naweza kufa

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Naombeni msaada ni jinsi gani naweza jinasua na hili janga. Nimefikia hatua ambayo nisipoonja mbususu ndani ya siku tatu napata disturbance kwenye mkuyenge, yaani nakosa amani, uhuru, utulivu.

Napata hamu kali sana ya ngono. Natamani kila mwanamke ninaekutana naye nimvute kichochoroni nimdinye.

Uchungu huu unafikia hatua ya kunifanya niirejee punyeto, lakini nayo haisaidii kitu. Yaani ni heri nikeshe na mbususu usiku kucha kuliko kula. Threesome sex kidogo nitasogezea siku tatu, maake kuna binti na mdogo wake wamejitolea kwa ajili yangu.

Ushauri wakuu, tatizo litakuwa nini?
 
Mabadiliko yanaanz na ww hapa unawez kupata ushaur wa hata watu 1000 lkn ushaur hautosadia km haujaamua ww mwnyw.

Mtafte mtaalam wa afya ya akili akupe ushauri lakini pia tambua tu kitu kimoja kinachofany watu waw masikin n ngono... lkn pia kumbka kuna maradhi mzee ..
 
Hongera kwa kujua kuwa hilo ni tatizo. Hii ni hatua kubwa sana kufikia utatuzi.
Mtegemee Mungu..omba kisha jitulize huku ukijikumbusha kila wakati unaposikia hali hiyo kuwa Mungu anashughulika na tatizo lako. Atakupa nguvu ya kushinda. Hatua kwa hatua. Halafu fanya mazoezi ( physical exercises) Mara kwa Mara. Kimbia dk angalau 30 kila siku angalau siku nne kwa wiki.

Ushuhuda
Mimi nilikuwa siwezi kupitisha siku bila kunywa angalau bia nne. Nimefanya nilivyokuambia. Nina kama mwezi bila kunywa bia sasa. Bado napambana. Lakini inazidi kuwa rahisi kadri siku zinavyozidi kwenda. Addiction huwa zinahitaji kujitoa sadaka. AM PRAYING FOR U. Allah akufanyie wepesi InshAllah
 
Fanya kuoa kijana upate utulivu
Hapana mkuu, sijawa financially stable kufanya hicho kitu. Halafu istoshe, siwezi kuoa kwa nia ya kumalizia hasira za hamu ya tendo kwa atakaekuwa mke wangu, kwa hali niliyonayo sasa, naweza kuua kama nitakesha nae. Thats why siwezi kubali kukesha na binti usiku kucha, najua sitoweza kupumzisha! Labda huyu binti na mdogo wake kwenye threesome, niliwaelezea tatizo langu wakanielewa
 
Achana na hao madada poa watakuua, mkuu utafilisika mpaka akili
 
Naombeni msaada ni jinsi gani naweza jinasua na hili janga. Nimefikia hatua ambayo nisipoonja mbususu ndani ya siku tatu napata disturbance kwenye mkuyenge, yaani nakosa amani, uhuru, utulivu.

Napata hamu kali sana ya ngono. Natamani kila mwanamke ninaekutana naye nimvute kichochoroni nimdinye.

Uchungu huu unafikia hatua ya kunifanya niirejee punyeto, lakini nayo haisaidii kitu. Yaani ni heri nikeshe na mbususu usiku kucha kuliko kula. Threesome sex kidogo nitasogezea siku tatu, maake kuna binti na mdogo wake wamejitolea kwa ajili yangu.

Ushauri wakuu, tatizo litakuwa nini?
Una hatari kwenda kujiuza
 
Tatizo ni kua hauna Kazi tafuta Kazi kwanza
 
Back
Top Bottom