Msaada: Ngono kwangu imegeuka chakula, nikikosa punani naweza kufa

Kumbe huna majukumu ukipata majukumu mbona hamu itapungua tu
 
piga nyeto asubuhi, mchana, jioni na usiku kabla kulala, utanishukuru

worked for me
 
Kichwani kwako kubovuuu hakuna lingine.
 
Fanya kuoa kijana upate utulivu
Hivi kwani ukiwa mu.isl.a.m ndio automatic dish linayumba? nyinyi watu wa upande wa mudy mbona issue ya kuoa mnaona ndio mafanikio? aoe ajiongezee mzigo wa majukumu? Kwanini asipambane mwenyewe mpaka akae vizuri kiuchumi ndio aoe? Kwani akioa hata ana miaka 40 atapungukiwa nini? ndio maana mamikoa yenye watu wengi wa.i.slam ndio mamikoa masikini zaidi
 
Haya jitahidi bhn.... ujue tu UKIMWI upo
 
Wamatukio kama wamatukio Mimi nyuzi zako Tu, tafuta kazi iyo Hali itaisha
 
Ushauri wangu ni kama ifuatavyo
••Mwombe Mungu Sana kwa imani uache tabia hiyo
••Tafuta kitu cha kukufanya uwe busy maana upweke hupelekea tamaaa mbaya n.k
••kuwa na mpango mkakati maalum wa namna ya kuanza kuacha tabia hiyo mfano kuacha kuangalia picha zisizo na maadili,nyimbo zinazoamsha hisia, marafiki wabaya wenye kukuhamasisha ufanye mambo hayo.
••Chunguza jamii unayoishi nayo ili uepuke matamanio hayo mabaya( achana na hao wadada watakupotezea mda, gharama na energy)
••Jaribu kushare na wataaalamu mbalimbali upewe mbinu zaidi kuacha hali hiyo
•••Fanya mazoez (kutembea,kukimbia)
Haya ni machache ya kukushauri naamini ukikeep into effect waweza pata suluhisho la tatizo lako ALL THE BEST
 
M. C. N c m. M cccmcc mg. .cc. M. Gccccc. Ccc. Cc. C cc. C. Ccccgc cc m. C. C. Cc cc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…