Msaada: Ngozi ya korodani inachomachoma

Msaada: Ngozi ya korodani inachomachoma

Berlin stom

Member
Joined
Aug 4, 2023
Posts
34
Reaction score
21
Jaman naombeni msaada kwa anae faham nina sumbulia na tatiz sehem ya korodan yani napokuw natembea panachoma mno kwa kizungu wanaita stinging au burning mpak sehem ya aja kubwa inatokea wakat wa kiangaz na hata pale barid linapokuw kali napata shida msaad jaman
 
Umeenda hospitali?
 
Hzo itakuwa fungas uwe unapaka mafuta kupafanya kuondoa ukavu
 
Back
Top Bottom