Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujua jinsia,Msaada ngozi yangu inaharibika na sijui kwanini
Mkuu hauna ndevu kabisaMale
huwa linanitokea kwenye mabega na kifua hasa majira ya joto , angalia pia sabuni ,badili sabuni...kuna kipindi hadi nikaogopa but nikaanza kusoma baadhi ya tips kwenye google.Msaada ngozi yangu inaharibika na sijui kwanini
Nunua lotion yyte kavu..... Namaanisha ya ngozi ya mtu mwenye mafuta utapewa kavu..... Alaf kweny hip lotion itenge kidg nyingine pembeni iwwekee manjano nusu kijiko na kipande robo Cha limao...... Koroga vzuri Alf uwe unapakaa usiku kabla ya kwenda kulala..... Hiyo nyingine ilibaki paka mchana.........Msaada ngozi yangu inaharibika na sijui kwanini
Aiseee...kumbe mate ni dawaPunguza kula wanga hasa ubwabwa, kula vitunguu swaum punje 4 kila siku, kunywa maji mengi, usivitumbue mpaka kutakapokuwa tayari. Ukiweza jipake mate kote palipo athirika.
Umeambiwa ngozi, hizo devu za niniMkuu hauna ndevu kabisa
Inapatikana wapi na kwa bei gani?