Ayochemical
Member
- Jan 26, 2012
- 30
- 5
Jamani naisi nina tatizo mbegu zinachelewa kutoka mwenzenu naweza nikasema hata masaa matatu lakini mbegu ni za kutafuta nikilala na mwanamke mpaka anahisi maumivu na situmii kondomu.
Msaada jamani wanaridhika ila nahisi ni tatizo mbegu zinachelewa sana.
Msaada jamani wanaridhika ila nahisi ni tatizo mbegu zinachelewa sana.