Msaada: NHIF Hospital yenye Eurologist

Msaada: NHIF Hospital yenye Eurologist

ethicx

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
311
Reaction score
126
Habari zenu wadau, nina tatizo nahis kwnye mfumo wa mkojo au uzazi. Ninahic maumiv kutoka kwenye kibofu hadi kwenye mbavu upande wa kushoto. Kende naona km zmepishana urefu ya kulia imeshuka kdgo na yakushoto ni fupi na ninapo ibonyeza ile yakushoto nahic maumiv zaid had kwenye chin ya mbav kwa nyuma mgongoni. Tumbo hunijaa gas na kuniuma chin ya kitovu ninapobanwa na mkojo. Muda mwingne naharisha muda mwngne nakosa choo. Ninapopata ile water therapy wakat wa asubuh zile 1.5lts za maji lazima nikaharishe. Nimeenda hosp nakupima h.pylori ni negative, UTI sina. endoscope hamna kitu, utrasound ya kibofu, ini na figo kote hamna kitu. Jaman naomba msaada kama kuna hosp nzur hapa Dsm inayotoa huduma za nhif na kuna Drs wazur wa maswala ya magonjwa ya wanaume au urologist mnisaidie jaman.
Samahan sana wakubwa kwa kuandika rafu rafu nafikir nimeeleweka, nahitaj msaada wenu.
 
Pole Mzizi mkavu nimemwita anamalizia kunywa Kahawa anakuja kukupa jibu...
 
Jumanne pale Kairuki memorial huja urologist, na bima hiyo ya afya inakubalika pale.
 
Kuna Dr. mmoja anaitwa Yongolo yupo Tumaini Hospital specealist kwa njia ya mkojo no.0784644445 jaribu kumpigia uonane naye
 
Back
Top Bottom