Msaada: NHIF office zao ziko wapi?

spike

Senior Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
112
Reaction score
15
Wakuu anaejua mahali office za hawa jamaa wa NHIF (The Natinal Health Insurance Fund) naomba anisaidie kunielekeza
 
duh ndio waelekea 4 application..
Ok subiri nimtafute jamaa atuelekeze mie mwenyewe ni mbioni huko..!
 
Kurasini mkabala na ofisi za mamlaka ya bandari. Ukifika karibu kwenye round about pale mbele ya ofisi za BP Kurasini chukua njia ya kushoto inayoelekea bandarini badala ya kuendelea na Barabara ya Kilwa
 
NIC Life House Wing 'C', Sixth Floor, Ohio/Sokoine Drive. Ni karibu na sukari house Jamaa kanielekeza hivi...
 
Thanx wakuu.... Ila hapo pagumu ni kurasini au ohio
 
Ni wapi sasa!! Sukari House au Kurasini mkabala na ofisi za mamlaka ya bandari???. Ni contradiction bado.
 
Ohio ni Ofisi za Mkoa wa DSM kama sikosei Ofisa ya kanda pia.
Kule Kurasini ni makao makuu {country's HQ}.
 
Ohio ni Ofisi za Mkoa wa DSM kama sikosei Ofisa ya kanda pia.
Kule Kurasini ni makao makuu {country's HQ}.

uko sawa kaka kuna mtu kaniambia HQ zipo kurasini bendela tatu, sijui ndio hapo hapo kalibia na mamlaka ya bandari!!
 
Ukishafika maeneo ya bandari utapata tu msaada wa kufika huko. Ni eneo linalojulikana. Kila la heri.
 
Zipo NIC Life House mtaa wa Sokoine Drive. Ni karibu na sukari house
 
Kurasini mkabala na ofisi za mamlaka ya bandari. Ukifika karibu kwenye round about pale mbele ya ofisi za BP Kurasini chukua njia ya kushoto inayoelekea bandarini badala ya kuendelea na Barabara ya Kilwa

mkuu mbona pale kuna bar ya mabaharia(seamen) au ndo humohumo ndani?
 
Kurasini mkabala na ofisi za mamlaka ya bandari. Ukifika karibu kwenye round about pale mbele ya ofisi za BP Kurasini chukua njia ya kushoto inayoelekea bandarini badala ya kuendelea na Barabara ya Kilwa
exactly hapo ndipo zilipo mkuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…