Msaada ni app gani huwa mnatumia kutype documents kwenye simu??

Msaada ni app gani huwa mnatumia kutype documents kwenye simu??

Double N

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
290
Reaction score
550
Wakuu kwema.
Kama heading inavyosomeka, ni app gani naweza kutumia kutype documents hasa barua, na kufanya editing ya CV.

Sina access na pc kwa muda hivyo sitaki mambo yaende kombo kisa sina pc.
Naomba kujua pia changamoto zake na jinsi ya kuzitatua.

Nawasilisha.
 
Microsoft Apps

WPS ni ya kishamba sijawahi ikubali
Screenshot_20240928-151336_One%20UI%20Home.jpg
 
Back
Top Bottom