Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 785
Yafaa hata mwaka hivi nadhanWakuu salaamu, kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba kujua kutoka kwa wabobezi, madaktari na wataalamu wengine hili suala la mwanamke aliefanyiwa upasuaji wa uzazi anaweza kufanya tendo la ndoa baada ya muda gani kutoka alipofanyiwa upasuaji??
Nakaribisha michango yenu, karibu.
Haha ."popo kanyea mbingu"
Huo ndio mdaa mzuri. Wa kuchezaa mechi za ugenini.... Mkuu jaribu kufikiria na hilo piaa...
Kuongezaa na maujuzi kwa majirani...jaribu kumpaa mda wa kutosha. Mkeo tafadhari.... Inategemeana na upasuaji wake umemuathiri kiasi gani mpkaa pale atakapokuwa salama kabisaa kuchezaa michezo huruuu... Nadhani itachukuaa mdaa lakini pia kuna style pendwaa. Zinaweza tumika kukizi hajaa za kula tundaa bila kupukutisha majani. Nadhani wadau wengine watajaribu. Kuzitaja hapa chini....
Angalizo. Style za popo kanyea mbigu si salamaa sana kwa kipindi hichi..
Ahsante
Haha ."popo kanyea mbingu"
Mkuu we acha tu, najaribu kutafakari mchepuko naona bado mnara haukai sawa, ila nikimfikiria wife aisee mnara unachana suruali sijui nina tatizo gani, lakini mpaka sasa nina miezi minne sijaonja papuchidyu naona uvumilivu umekushinda mkuu unataka upandishe mnara 😀😀
Miezi mitatu na wiki.Kwani hadi sasa tangu afanyiwe upasuaji ameshakaa mda gani
Bado kama kafanyiwa upasuaji hadi 6 anagalau wee vumilia tuu maana kwa nje kapana ila ndani bado si unajua maeneo yale misuli hua laini?M
Miezi mitatu na wiki.
Mh! Haya mambo kwangu mageni, huyu ni mtoto wa tatu hawa wengine wamezaliwa kawaida tu, siku arobaini mzee unadandia tena si kwa kuomba unalazimishwaBado kama kafanyiwa upasuaji hadi 6 anagalau wee vumilia tuu maana kwa nje kapana ila ndani bado si unajua maeneo yale misuli hua laini?
dah mwaka mzima,si bora jamaa ajiunge upadri tuuYafaa hata mwaka hivi nadhan
Ikibidi nitafanya hivo, maaana sasa mh!We subiri mpaka akupe yeye
Huu ni muda wa masta tu mkuu
Fanya online application chaputa
Wakati unasubiri mwenzakoWakuu salaam,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba kujua kutoka kwa wabobezi, madaktari na wataalamu wengine hili suala la mwanamke aliyefanyiwa upasuaji wa uzazi anaweza kufanya tendo la ndoa baada ya muda gani kutoka alipofanyiwa upasuaji
Nakaribisha michango yenu, karibu.