Msaada: Ni baada ya muda gani ndipo mwanamke aliyezaa kwa oparesheni anaruhusiwa kufanya tendo la ndoa?

Mara nyingi vitu vipya kwenye maisha hua vinaleta tabu, sasa mi nilizoea kutekeleza wajibu, akienda labour nasubiri siku 40 mambo mazuri sasa safari hii nimepatikana.
 
Wakuu sasa hivi nikipishana na binti tu lazima nijikwae, hahahahaaa! Yaani sijui napofuka macho jamani, iko siku nitagongwa na mkokoteni.
 
Achaa tamaaa na ww subiri akipona atakupa mwenyewe la sivyo utamfumuaa mwishowe uje kusema mke wangu ana matatizo uanze kutafuta wengine
 
Achaa tamaaa na ww subiri akipona atakupa mwenyewe la sivyo utamfumuaa mwishowe uje kusema mke wangu ana matatizo uanze kutafuta wengine
Hapana mkuu siwezi fanya hivo, kwani hizi tamaa ni za muda mfupi tu nina uwezo wa kuvumilia.
 
Mmmmh mdada kapatwa. Pale atakapojisikia na.kukupa go ahead
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…