Msaada ni bank gani hapa Tz inayotoa card yenye uwezo wa kurecieve pesa kupitia card

Msaada ni bank gani hapa Tz inayotoa card yenye uwezo wa kurecieve pesa kupitia card

Matata25

Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
60
Reaction score
18
Wakuu naitaji nipate card yenye uwezo wa kufanya online payments na iwe na uwezo wa ku recieve payments kutoka nnje ya nchi. Nina card ya crdb inafanya online payments but kupokea pesa mtu anapokulipa kwa card eti haiwezekani kupokea pesa. Please naomba wataalamu mnisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo huduma inaitwa wire to bank

Tumia bank za nje ambazo zipo Tz. Eg. Barclays, Stanibic. Lakini pia hawa Equity bank wapo vizuri sana.

Pia unaweza link na acount yako na Pay pal ua Kenya au ukajiunga na Skrill
 
Nasikia watu wengi wanasema eti barclays wanamakato makubwa sana. Ni kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom