Nasikia watu wengi wanasema eti barclays wanamakato makubwa sana. Ni kweli?Hiyo huduma inaitwa wire to bank
Tumia bank za nje ambazo zipo Tz. Eg. Barclays, Stanibic. Lakini pia hawa Equity bank wapo vizuri sana.
Pia unaweza link na acount yako na Pay pal ua Kenya au ukajiunga na Skrill
Sina uhakika sanaNasikia watu wengi wanasema eti barclays wanamakato makubwa sana. Ni kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia watu wengi wanasema eti barclays wanamakato makubwa sana. Ni kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika sana
Pamoja fwAzaAhsante mkuu kwa mchango wako. I hope wenye uzoefu na barclays watanijuza
Sent using Jamii Forums mobile app