MSAADA:Ni Benki gani hapa Tanzania inatoa Mikopo kwa interest ya chini kidogo?

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Naomba msaada wadau;
Kujua ni benki ipi hapa kwetu tanzania inatoa mikopo kwa marejesho ya riba ya chini au nafuu kidogo?

Naamini ntakuwa nimeeleweka,kama sijaeleweka kwa wale walionielewa naomba watanisaidia kuwaelewesha ambao hawajaelewa.

Ahsanteni.

Bampami.
 
Kuna uzi humu aliuweka mzee mzima babu Dark City , unaelezea mabenki na mikopo yake, utafute.
 
Last edited by a moderator:
Nenda bayport mzee wameshusha riba sana had naogopa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForum
 
Kuna uzi humu aliuweka mzee mzima babu Dark City , unaelezea mabenki na mikopo yake, utafute.

Ni kweli kabisa,

Nitaweka uzi wenyewe baadaye kidogo kwani mtandao wa JF unasumbua kidogo. Hata hivyo sijafuatilia kwa siku za karibuni. ila kuna benki nyingi zilipunguza riba baada ya inflation kushuka.
 
#Dark City and #Baba V ntawashukuru sana mkinitafutia....manake simu yangu haina uwezo mkubwa.....

Pia kama kutakuwa na UPDATEs zozote itakuwa vyema ukinisaidia.

SHUKRANI.
 
Naomba msaada wadau;
Kujua ni benki ipi hapa kwetu tanzania inatoa mikopo kwa marejesho ya riba ya chini au nafuu kidogo?

Naamini ntakuwa nimeeleweka,kama sijaeleweka kwa wale walionielewa naomba watanisaidia kuwaelewesha ambao hawajaelewa.

Ahsanteni.

Bampami.

Ni kweli ila nakumbuka kwenye huo uzi bank pekee ambayo ilikua ni favourable kwenye mikopo ni TIB tena hasa kwenye mikopo ya kilimo ila kwakua ameahidi kuuleta tena msubiri.
 
postal bank, dcb, twb, nmb

bank zote zenye uhusiano au za kiserikali zote zinatoa riba nafuu,

access, advans, akiba, azania wanatoa mkopo fasta lakini riba zao ni za kuua mtu
 
Hata nmb wako fasta, less tahn 24 hrs unapata mkopo.
 
postal bank, dcb, twb, nmb

bank zote zenye uhusiano au za kiserikali zote zinatoa riba nafuu,

access, advans, akiba, azania wanatoa mkopo fasta lakini riba zao ni za kuua mtu

si kweli hata kidogo, weka viwango vya hizo riba tuone, mfano weka riba za NMB na Azania tuone tofauti
 
Back
Top Bottom