Kuna uzi humu aliuweka mzee mzima babu Dark City , unaelezea mabenki na mikopo yake, utafute.
Ni kweli kabisa,
Nitaweka uzi wenyewe baadaye kidogo kwani mtandao wa JF unasumbua kidogo. Hata hivyo sijafuatilia kwa siku za karibuni. ila kuna benki nyingi zilipunguza riba baada ya inflation kushuka.
Naomba msaada wadau;
Kujua ni benki ipi hapa kwetu tanzania inatoa mikopo kwa marejesho ya riba ya chini au nafuu kidogo?
Naamini ntakuwa nimeeleweka,kama sijaeleweka kwa wale walionielewa naomba watanisaidia kuwaelewesha ambao hawajaelewa.
Ahsanteni.
Bampami.
Sio vizuri kumshauri mwenzio aende kule. Kule ni majanga asikwambie mtu.Nenda bayport mzee wameshusha riba sana had naogopa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForum
postal bank, dcb, twb, nmb
bank zote zenye uhusiano au za kiserikali zote zinatoa riba nafuu,
access, advans, akiba, azania wanatoa mkopo fasta lakini riba zao ni za kuua mtu
nahis ufwasta huo ni kwa wafanyakazi wanaopitisha mishahara hapo nmb, sijui na kwa wafanyabiashara kama wapo fwasta kiasi gani,Hata nmb wako fasta, less tahn 24 hrs unapata mkopo.
Kuna uzi humu aliuweka mzee mzima babu Dark City , unaelezea mabenki na mikopo yake, utafute.
postal bank, dcb, twb, nmb
bank zote zenye uhusiano au za kiserikali zote zinatoa riba nafuu,
access, advans, akiba, azania wanatoa mkopo fasta lakini riba zao ni za kuua mtu
ukiona manyoya..................................si kweli hata kidogo, weka viwango vya hizo riba tuone, mfano weka riba za NMB na Azania tuone tofauti