Msaada: Ni chaneli gani zinazoonesha Euro kupitia king'amuzi cha Azam?

Zbc 2 wanaonyesha za saa 4 tu, za saa 10 na saa 1 labda niwaulize wenzangu. Tena saa 4 hiyo sometimes hawaonyeshi kabisa. Game ya italy jana hawakuonyesha. Bora waache tu kuonyesha kama ni hivyo
Sure!
 
Wa Azam inabakia tu kujifariji na Caf champions league, Caf confederation cup, na ligi kuu ya vodacom

Azam mjanja hataki gharama za kununua mechi zote kama dstv ama espn anatumia zbc2 kupewa mechi kiurahisi... zbc inasomeka kama tv ya taifa zanzibar.. azam anatumia mbinu ya kupewa mechi kama tv ya taifa.. sasa mara nyingi tv ya taifa haipewi mechi zotee.. unapewa chache tu
 
TBC wamepewa ngapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…