Msaada: Ni chaneli gani zinazoonesha Euro kupitia king'amuzi cha Azam?

TBC wamepewa ngapi ?

Kuna taratibu zake za kupewa.. sio buree kabisa kuna gharama unalipishwa ila ndogo tofauti na tvs za pay tv.. jiulize kwa nini ligi ya bongo inaoneshwa na azam sports channel.. ila caf champions league zinaoneshwa na zbc2 only.... ila dstv yeye anaonesha kila mechi bila kujali timuza nchi gani
 
DSTV wanarusha michuano ya CAF CL toka lini?
 
Azam bado wanaonyesha hiyo Caf champions league
 
WANAONESHA MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…