The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Umuofia kwenu,
Aise kuna fundi nilimpa kazi na malipo 85% kazi ilikua ya makubaliano ya kukamilika kwa wiki Moja, lakini sasa yapata mwezi na mwelekeo wa kukamilika haupo.
Mbaya zaidi hana dharula yoyote yupo na anaendelea na kazi za wateja wengine nikimuhimiza kua ananikwamisha analeta kiswahili kingin na kiasi tunafahamiana naona ndio naama ananipuuzia. Kotukana na ku hechelewesha kazi yangu Kuna hasara kadhaa nimeanza kuzipata kutokana na kazi hiyo kutokanilika kwa muda tarajiwa.
Sina Nia Mbaya na yeye lakini nahitaji kazi yangu kukamilika jambo ambalo kwa dhairi anaonekana kupuuzia kabisa.
Wakuu, nimefika breaking point nimesa zungumza nae sana sana nimedhamiria kuchukua hatua ya wastani ili kazi yangu ifanyike, ikishindikana nichukue hatua Kali.
Ombi langu kwenu wataalamu wa Sheria na wenye uzoefu na mafundi wasumbufu nipeni ushauri je nimfungulie jalada ? Kwa kesi ya Madai au wizi wa kuaminiwa ? Je kesi Kama hizi zinapokekewa polisi au ni mahakamani Moja kwa moja?