Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,681
Mheshimiwa Ngaliba dume unanishangaza kidogo unazungumza kama vile hujasoma kwa malengo. Uhasibu ni profession tofauti na ualimu. Kwa vyovyote vile hutaweza kufanya kazi yako au kupanda daraja ukiwaa mwalimu kwa kutumia cheti cha uhasibu. Kwa hali hiyo basi jitihada zako za kwanza ziwe ni kubadili kazi na wala sio kupanda cheo. Kama mwajiri wako hana nafasi hiyo basi nakushauri vunja mkataba na mwajiri wa sasa baada ya kutafuta na kupata kazi nyingine AU kwenye kampuni au shirika lingine. Lakini katika shule za msingi huna nafasi.

Amwandikie barua mwajiri wake akiambatanisha na cheti chake cha masters ili kiwemo kwenye file lake, huko mbeleni wanawaza ku-update mshahara n.k