Asante kwa ushauri!Kuna mdau humu alinishauri niwaone Zola,tayari wamenifungia mtambo wao ndiyo niko nasikilizia,ingawa gharama zao naona zimeshibaKiukweli Battery la pro solar lipo poa sana sema solar zao ndio ghali, chukua Battery N100 na solar sundar watt 150 uta enjoy maisha.
Ulifunga ya watt ngapi na ilikugharimu kiasi gani?watafute eggy energy watakufanyia kila kitu na utalipia kidogo kidogo
nimefunga hapa nina miaka 14 kitu imetulia panel toka ujerumani na wakati wakifunga wanapima uelekeo gani panel ikae na inaungwa na simu yako
namba yao
0655220242
Bado unazo, sio za wizi?Kwa anayehitaji Betri za uhakika zlizotumika kwenye minara ya simu anicheck Hz ni Betri imara mara Mia kuliko mpya ya Sundar au sjui Rita NK ninazo za 150ah umeme WA uhakika sana.
0629945110
Inakuwa na ubluu unaoelekea kwenye weusiHiyo Mono ikoje?Maana nikienda dukani nakutana na Sundar,oceanic n.k
Hajajipunja hasa akipata inverter ya 500wattsVifaa vyote hivyo ni DC? 120w naona kama umejipunja.
Hao na wenzao sunking sjui mobsol aisee vifaa vyao UBORA na UWEZO MDOGO lakini gharama kubwa Sana tatzo wabongo tunaona slope Ile wanakupa Kwa mkopo utajkuta umelipa mil NNE.Asante kwa ushauri!Kuna mdau humu alinishauri niwaone Zola,tayari wamenifungia mtambo wao ndiyo niko nasikilizia,ingawa gharama zao naona zimeshiba
Ziko wapi hizo za wizi nionyeshe nikaibe maisha bila ku risk hutoboiBado unazo, sio za wizi?