Msaada: Ni ipi biashara bora? Nguo za kiume special Vs Vipodozi na Urembo

Msaada: Ni ipi biashara bora? Nguo za kiume special Vs Vipodozi na Urembo

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Hello Friends,

Nataka kuwekeza na kutokana mtaji nilionao unafaa kufanya moja kati ya hizo biashara mbili.

Naelewa kila biashara ni usimamizi ila kila biashara ina chamgamoto zake. Kwa ushauri na labda uzoefu wako, ni biashara ipi kati ya nguo za kiume special (shirts, cardets, jeans, shoes..etc) na vipodozi/urembo kila aina itanipa return nzuri na haitanichomesha mahindi kivile?

Ahsante.
 
Vipodoz √

Nguo za kiume msala wanaume Sio wavaaji
 
Dada zetu wanajipenda sana na sio wagumu kuwekeza kwenye urembo. Wanaume tunajijua wenyewe kwenye mavazi.
 
Back
Top Bottom