Twinawe JF-Expert Member Joined Oct 3, 2016 Posts 2,431 Reaction score 5,336 Dec 2, 2023 #1 Mwanagu wa miezi 7 nane kasoro kashaota meno mawili ya chini ila kinachonishangaza upande wa juu limejitokeza jino pembeni (meno chonge ) yameota kabla ya meno ya mbele . Je hii ni hali ya kawaida? Sijawai ona popote
Mwanagu wa miezi 7 nane kasoro kashaota meno mawili ya chini ila kinachonishangaza upande wa juu limejitokeza jino pembeni (meno chonge ) yameota kabla ya meno ya mbele . Je hii ni hali ya kawaida? Sijawai ona popote