Msaada: Ni kondomu gani nzuri kama 'Fiesta condom'?

Msaada: Ni kondomu gani nzuri kama 'Fiesta condom'?

Saidama

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2022
Posts
598
Reaction score
1,151
'Fiesta condom' kwangu ni kondomu bora sana kuwahi kuitumia kutokana na namna ilivyo, haipotezi ladha, yaani ni kama kavu. Sasa shida ni kuwa kwa sasa imekuwa imekua ngumu kidogo kupatikana, yaani nimeshaitafuta sana nimeikosa.

Kondom zingine zinazopatikana kwa wingi nikitumia naona hakuna ladha ya tendo, na binafsi siwezi kufanya mapenzi na mwanamke ambaye siyo mke wangu bila kondomu.

Naomba kwa wanaofaham zaidi hivi vitu, ni kondomu gani ipo kama ilivyo 'Fiesta condom', yaani 'kama kavu'?
 
'Fiesta condom' kwangu ni kondomu bora sana kuwai kuitumia kutokana na namna ilivyo, haipotezi ladha, yani ni kama kavu. Sasa shida ni kua kwa sasa imekua imekua ngumu kidogo kupatikana yani nimeshaitafuta sana nimeikosa. Kondom zingine zinazopatikana kwa wingi nikitumia naona hakuna ladha ya tendo na binafsi siwezi kufanya mapenzi na mwanamke ambae sio mke wangu bila kondom. Naomba kwa wanaofaham zaidi hivi vitu, ni kondom gani ipo kama ilivyo Fiesta kondom, yani 'kama kavu'
Kama una mke, nakushauri tulia nae, achana mahangaiko yatakoyo kujutisha baadae.
 
@
'Fiesta condom' kwangu ni kondomu bora sana kuwai kuitumia kutokana na namna ilivyo, haipotezi ladha, yani ni kama kavu. Sasa shida ni kua kwa sasa imekua imekua ngumu kidogo kupatikana yani nimeshaitafuta sana nimeikosa. Kondom zingine zinazopatikana kwa wingi nikitumia naona hakuna ladha ya tendo na binafsi siwezi kufanya mapenzi na mwanamke ambae sio mke wangu bila kondom. Naomba kwa wanaofaham zaidi hivi vitu, ni kondom gani ipo kama ilivyo Fiesta kondom, yani 'kama kavu'
mzabzab tunahitaji msahada
 
Hii nchi Mgao wa maji, Mgao wa umeme, njaa, ajira vijana hawana....

Na kuna muhuni huku anahisia za kudindisha na kutoa wazungu
 
Screenshot_20221028-220054~2.png

Screenshot_20221028-215846~2.png

Tumia hizi makitu zilizopanda ndege...
 
Back
Top Bottom