Msaada: Ni kweli Katibu Mkuu Utumishi ameelekeza watumishi wanaostahili kupandishwa madaraja?

Msaada: Ni kweli Katibu Mkuu Utumishi ameelekeza watumishi wanaostahili kupandishwa madaraja?

F4B

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2022
Posts
336
Reaction score
429
Kuna maelekezo nimeyasikia kutoka utumishi kuhusu watu waliostahili kupandishwa madaraja 2018 na kuendelea hawakutendewa hivyo.

Katibu mkuu utumishi ameelekeza maafisa utumishi katika halmshauri zetu kuomba watu hao wapandishwe kwa mseleleko.

Mwenye uhakika na hii habari tafadhari.
 
Hayo maelekezo nimeyatengua baada ya kuchungulia hazina kuu na kugundua fedha hakuna.

Kwahiyo waraka/maelekezo hayo nimeyatengua mpk hapo tutakapo ongeza kiwango cha tozo kwenye miamala.
 
  • Thanks
Reactions: F4B
Hayo maelekezo nimeyatengua baada ya kuchungulia hazina kuu na kugundua fedha hakuna.

Kwahiyo waraka/maelekezo hayo nimeyatengua mpk hapo tutakapo ongeza kiwango cha tozo kwenye miamala.
Nijibu kwanza nimesikia kwa watu wa idara ya afya
 
Zitakuwa ni story za vijiweni tu hizo. Hakuna madaraja ya mseleleko. Ile hela iliyo takiwa kutumika kwenye kutupamdisha, ilishatumika kununulia Bombardier.

Hivyo baada ya kupandishwa mwaka jana, tusubiri tu wakati mwingine.
 
  • Thanks
Reactions: F4B
Back
Top Bottom