F F4B JF-Expert Member Joined Jan 13, 2022 Posts 336 Reaction score 429 Feb 19, 2022 #1 Kuna maelekezo nimeyasikia kutoka utumishi kuhusu watu waliostahili kupandishwa madaraja 2018 na kuendelea hawakutendewa hivyo. Katibu mkuu utumishi ameelekeza maafisa utumishi katika halmshauri zetu kuomba watu hao wapandishwe kwa mseleleko. Mwenye uhakika na hii habari tafadhari.
Kuna maelekezo nimeyasikia kutoka utumishi kuhusu watu waliostahili kupandishwa madaraja 2018 na kuendelea hawakutendewa hivyo. Katibu mkuu utumishi ameelekeza maafisa utumishi katika halmshauri zetu kuomba watu hao wapandishwe kwa mseleleko. Mwenye uhakika na hii habari tafadhari.
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Feb 19, 2022 #2 Hayo maelekezo nimeyatengua baada ya kuchungulia hazina kuu na kugundua fedha hakuna. Kwahiyo waraka/maelekezo hayo nimeyatengua mpk hapo tutakapo ongeza kiwango cha tozo kwenye miamala.
Hayo maelekezo nimeyatengua baada ya kuchungulia hazina kuu na kugundua fedha hakuna. Kwahiyo waraka/maelekezo hayo nimeyatengua mpk hapo tutakapo ongeza kiwango cha tozo kwenye miamala.
F F4B JF-Expert Member Joined Jan 13, 2022 Posts 336 Reaction score 429 Feb 19, 2022 Thread starter #3 Sexless said: Hayo maelekezo nimeyatengua baada ya kuchungulia hazina kuu na kugundua fedha hakuna. Kwahiyo waraka/maelekezo hayo nimeyatengua mpk hapo tutakapo ongeza kiwango cha tozo kwenye miamala. Click to expand... Nijibu kwanza nimesikia kwa watu wa idara ya afya
Sexless said: Hayo maelekezo nimeyatengua baada ya kuchungulia hazina kuu na kugundua fedha hakuna. Kwahiyo waraka/maelekezo hayo nimeyatengua mpk hapo tutakapo ongeza kiwango cha tozo kwenye miamala. Click to expand... Nijibu kwanza nimesikia kwa watu wa idara ya afya
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Feb 19, 2022 #4 Zitakuwa ni story za vijiweni tu hizo. Hakuna madaraja ya mseleleko. Ile hela iliyo takiwa kutumika kwenye kutupamdisha, ilishatumika kununulia Bombardier. Hivyo baada ya kupandishwa mwaka jana, tusubiri tu wakati mwingine.
Zitakuwa ni story za vijiweni tu hizo. Hakuna madaraja ya mseleleko. Ile hela iliyo takiwa kutumika kwenye kutupamdisha, ilishatumika kununulia Bombardier. Hivyo baada ya kupandishwa mwaka jana, tusubiri tu wakati mwingine.