Msaada: Ni mafuta au cream ya kufuta makovu ya moto

Msaada: Ni mafuta au cream ya kufuta makovu ya moto

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
12,001
Reaction score
27,175
Wakuu,

Naomba ushauri wa kitaalamu.

Ni mafuta au cream gani nzuri kwa ajili ya kufuta makovu ya moto(burn scars)first degree burn kwa watoto.

Ahsante.
 
Moderator,Innovator ,Fang ,BlackBold haikuwa sahihi huu uzi kuletwa jukwaa la urembo na utanashati sababu ninachoulizia hapa ni medical product sio cosmetic product

Ikiwezekana urudishwe jukwaa la Afya maana kule ndio kuna wataalamu wa hiki nilichouliza hapa,huku nitapewa ushauri wa creams ambazo sio zinaweza zisiwe salama na sahihi.
Ahsante
 
Back
Top Bottom